Scam ya msee kukuonyesha fake mpesa message Ni fitty kama wewe ni msee wa biz ukuwe una confirm mpesa message kwa fon yako usiangalie fon ya mnunuzi Tukae rada wasee