
SCAMS / PONZI / PYRAMID SCHEME RED FLAGS #LINDAMESHER Saa hizi kuna so many many online schemes promising you heavens and wanajiita legit. As culprit mwenye nilo loose 15K kwa Amazon worker siwezi tamani kuona msee ako same boat. So what are its red flags? Na share a few ongeze zingine kwa comment.
- Kutumia refferal kama method ya ku earn and wanaku promise high returns
- Hawapendi paper work hivo wanapenda sana kutumia online
- Hauwezi withdraw pesa yako immediately and time ya kukuibia wanaweka certain target.
- Wanakulipa kutokana na doh refferral wako ameweka hivo nikaa unaibia beste yako

0
0
0