
Scented candles kutengeneza hukua easy process btw. Unafaa kua na:
🔥. Wax– Wax ndio base ya candle. Unaweza tumia wax from old/regular candles ama beeswax juu ni eco-friendly na haina toxins.
🪔. Wicks(tambi) – hapa tumia cotton wicks juu haina harmful chemicals.
🌸.Fragrance Oils – Hapa ndio magic inakam. Chagua kama lavender, vanilla ama lemongrass
🫙 .Containers – Tumia glass jars ama zile tin containers, juu zina hold wax vizuri na zinakaa smart.
🎨Rangi (Dyes)– Kama unapenda candles zako ziwe na color, ongeza wax dye. Chagua colors soft ama zile bold colors ukiwa na mood ya kubamba.
Process ni simple: 🕯️. Melt wax yako. 🕯️. Ongeza fragrance oils na dyes. 🕯️. Shika wick yako uweke kwa container, then mwaga wax hapo kwa jar. 🕯️. Acha wax ipoe, ikue hard. Mkae na patience And Done!