Season ya heavy rain ndio hii hapa, just wondering fellow farmers, saa hizi mnatumia method gani ku'harvest and conserve rain water?