
Season ya Mvua π¦βπ© Ndio Hii, Hapa Kuna Hustles za Kupata Extra Income!! π
β© Carwash: Hii ni #Jackpot sahii juu barabara iko na matope ajab! Hii ni #Opportunity ya ku-make doh kiasi! Cheza kama wewe.
β© Kuuza raincoats/umbrella na socks:Β Pale tao utapata wasee wameshikwa un-expectedly na mvua, kuuza products kama umbrella, socks na raincoats, especially rush-hour, unaeza tengeneza kaa kitu.Β
β© Hot Snacks: Kila mse anapenda chai moto na food moto hii season ya baridi. Kama uko kwa #Biz ya #Catering ama #Food business, this is the perfect business for you!
β© Kuuza viatu:Β Kuuza viatu iko na doh! Uza viatu gumboots kama ni possible kua na shoe cleaning station pia, tengeneza doh na hii hustle!
Kama ukona more hustles, share kwa comments....Tujengane!!Β ππ
#BusinessIdeas #BusinessTIps
