Self Employed Vs Employed: Which Life Is Really Better?
Wacha tuwe real. Kujiajiri huonekana sweet online: “no boss, flexible hours, unlimited income.” Lakini ground ni different. Self employed ndiyo unafanya decisions, but pia ndiyo last mtu kulipwa, unachukua full risk, hakuna guaranteed salary, na stress ya rent, stock, tax, staff, kila kitu iko kwa kichwa yako. Freedom iko, yes, but iko packed pamoja na uncertainty na long hours ambazo sometimes ni more than job ya kawaida.
Kwa upande mwingine, employment inaonekana “boring” but inatoa kitu wengi hawajui wanahitaji: consistent income, clear structure, sometimes benefits kama medical and pension, na unahama stress ya big decisions kwa bosses. Hata hivyo, some jobs hukufinya, hakuna room ya creativity, na ceiling ya salary iko obvious.
Meshers, kwa experience yenu, ni nini imewaskia sana kwa ground:
- Stress ya kujiajiri lakini potential ya income kubwa
ama - Stability ya salary lakini limited control?