
🔥 Self Employment is the Goal
Kitu ingine wazee,pale kwa employment mchunge sana. One time you’re 26 you blink again you’re 39 and a father of 3 children. Unaangalia namna hii unaona kweli theres nothing I have to show,Except these three bastards. Pesa yote imeenda kwa rent,Food,fees,External horizontal engineering activities, na kulipia mathe trip india akawekwe viagra kwa roho ipige damu vizuri.
Huku kwingine there's nothing,Ni bibi tu unaangalia unaona ulioa akiwa na shape ya fanta lakini sahii amejiwachilia akafura kama mtungi ya busaa imeiva buana. But the truth is Employment is safe,juu hakuna kusumbuka akili,ni ufanye kazi ukingoja mshahara next month. But it fixes you in a cycle that you cannot explore outside your routine. Employment inataka uanze kupanga exit on your first day there. Have some fans running in the back as much as you’re employed. Otherwise block kutoka ni ngumu, angalia jirani mwambie Wantam Prezdent!☝️