
Self-tapes ndio auditions mpya btw you guys. Usikae ukingoja casting call ya location, kua unajua kurecord self-tape.
Tumia simu yako
Background ikue plain
Angalia lighting
Sema slate yako vizuri (jina, age, height) Ama still tengeneza monologue. Tuma kazi yako. Don't wait. We skuma tu kwa local productions, ama ata on your social pages.

0
0
0