#SellingToday
Mimi hapa nafanya huduma za salon. Services zangu ni quality na styles zangu ni zile za kisasa kwa urembo na utunzaji wa nywele. Bei yangu ni affordable hatuwezikosana, kazi yangu nafanya kwa upendo na roho moja ili kila customer aondoke akiwa na confidence
0
0
0