
Sema explosion! iPhones, laptops, na electronics zingine huko Lebanon zimeblow up...si joke! Ma iPhones, laptops, hata electronic locks zimechomoka juu ya nini? 😳 Si unajua hizi devices tunategemea daily, sasa inabidi tujiulize,,nini inaenda wrong? Battery, overheating? ama kuna something deeper tuna miss? Niaje, drop your thoughts kwenye comments. Hii story inaweza affect gadgets zetu pia? Ama kuna way ya kuzuia isichome kama hizo za huko? Hebu mtoe ma ideas maze, tujue vile tunaeza avoid disaster kama hii hapa


0
0
0