logo

Sema Ikutoke 💯💯 Niaje mabossy👋👋Kwa segment ya leo kuna research flani nimepiga mtaani as to why mayouth wengi walianzisha biz na on the way zikadunda ama hazijagrow🙆,,,hapa kuna some reasons za some of the guys;

1.Wasee wa familia walikopa sana🤔 2.Maboyz walitaka kubamba madem wao 😔 3.Economy iliharibika😏

wewe kama msee wa biz mbona hujagrow ama hujafikia pale ulikuwa unatamani by this year ukuwe umefika😱usisahau kupitia Brian's Health Corner 🍌 🥑 🍓 🥭 ujibambe

#Sema Ikutoke 🫵

Thumbnail