Sema kusota wenzangu wanaqualify loans mimi CaRB ishanifanyia ile kitu najaribu kukopa wapi hakuna app naqualify hivo ndio niendup kuloose loans CRB si mchezo sijui nitakuja kujitoa vipi