Sema wiki ya graduation 🎓 za grade 9. Group of Schools zilituonyesha mambo wiki hii, aisee. I witnesssed some of the most lavish graduation ceremonies 🎉🎓🎊🥳 na zote zilikuwa za Grade 9!
Hapa ndio ilikuwa real test za ma-hawker, soko ni ya muda na customers ni wa kupigania. Ilikuwa mwenye nguvu mpishe, aggressive marketing at its best!
Meshers, share tips hapa za kunasa macustomer kwa graduation ceremonies juu mimi nilibaki na dead-stock za fresh bouquet(flowers)🌺 🌹 💐.
0
0
0