Semeni wakuu, hope bado mnajituma ndio mambo ijipe. Nasaka cereals kama ndengu ya beans hii area ya machakos. At the same time nahitaji transport services. Leteni quotations