Semeni wasee. Mimi ni msee wa Web especially backend na kutengeneza API na Laravel na naweza code in Javascript pia. Nitaapreciate opportunities zozote, nimemaliza shule nachill graduation so nataka tujobs tu ata za assignments nitashukuru.
0