
September to April ndio ukuwa peak season ya birds kwa major regions nchini. Ku keep problematic birds from shamba ukuwa challenging, mwanzo kwa wakulima wa mtama, rice, barley, Oats, wimbi even sometime the common firm produce. Kuna strategies nimecheck few wakulima wame implement.
🐤Kutumia mikebe ama devices zenye zina emit makelele. 🐤Kuweka physical barriers kama spikes na wire 🐤The famous one ukuwa scarecrow.
Changia kwa comment section kama umecheck other effective methods zenye sijamention.

0
0
0