
🙌 Session ya Government Regulations na Eve.
✔️ Tuli-learn ni muhimu kujua na kujipanga mapema hata kama biz bado ni ndogo on requirements zote za gava.
✔️ Uki-grow, biz yako inafaa ku-operate within regulations za gava.
💪Make sure uko rada ku-avoid penalties in the future.

0
0
0