shabana FC tumeona wakiwa NSL na walijaza stadium kwa game zao kuliko ata teams ziko KPL, Shida inaweza kuwa Wapi in terms of teams failing kufill up our stadia with fans mara kwa mara??? Hebu tuchanuane, teams zitake ideas from you guys...
0