
Shall anaweza make samosas of different flavors kama sambu za nyama minced, dengu na waru aongeze na kakachumbari hapo Pia anaweza ongezea soda za flavors tofauti tofauti coz mara mob wachezaji hutoka field kama wamechoka na koto mob pia mafans wakishangilia sana they'd want something cold to drink na maji pia ya kunywa Anaweza ongezea tusnacks pia kama tumandazis , cakes na cookies Anaweza ongezea pia maziwa ya kunywa na yourghuts Alafu anaweza ongezea tusweets za mafans at least wawach waki mumunya na kutafuna
Kahawa pia goes well with njugu Shelly anaweza ongeza njugu pia na hiyo kahawa awe akibeba tangawizi kando na ndimu pia wengi Bhupendra hivi na sukari extra pia juu kuna wale hupenda kahawa ikiwa na sukari vile anataka Anyways all the best Shelly