
Shally anaweza fungua a small hotel for mostly boda boda operators na pia watu wa mjengo, hotel hukua fiti since itaoperate the whole day unlike biz ya kahawa enye huoperate morning na jioni, alafu apo kwa hoteli aandike mtu mmoja wa kudeliver food upon request juu customers wengine hawawezi wacha biz zao waende lunch hao huprefer kuletewa, kwa biz ya hoteli as long as unauza quality food you are good to go so ningeadvice Shally a venture into this business and also iko na profit mob once imepick
0
0
0