
Shally pia anaweza ongeza eggs, smocha, fruits na soft drinks anaweza saka hio trolly ya masmokie na eggs aseti kando ya biz. Wasee wataongezeka na pia ataweza kuearn more. Pia asisahau kukua na hizo license za food and beverages ndo akue safe from Kanjo na gava. #MESHChallenge
0
0
0