
Shally unaeza endelea kwanza kuuza maji,soda, sweet's na uongeze kitu kama ice na maybe mayai ukiendelea Bado kusurvey atleast ukuwe umebuild relationship na wasee kadhaa wa management wenye unaweza request uweke popcorns ju bado machine inadai place utakuwa unaiwacha #MESHChallenge
0
0
0