Shamba ni bidii tu, ka huna doo ya kuscale up, unaezafanya project yako for 3 years bila mavuno ya kuridhisha. Mwingine ataeka mita moja na still hio yako kidogo consistent ije icompete naye hapa mbeleni