Shelves ziko empty, yet Kenya ndio largest milk producer in Africa! 🥛🇰🇪
Kwani tunaishi dunia ingine, ama kuna kitu hatuelewi? 😂🤔
Meshers, mahali uko, kuna maziwa kwa shelves za shop iko karibu nawe, ama nayo imekuwa commodity ya kuulizia jirani? 😂
Tuambiane ground iko aje. #kujengana
0
0
0