SHIDA INAEZA KUWA GANI.....
Nimejaribu kupika mandazi but badala itokee ikiwa full, Kuna haha kashimo kamejitokeza hapo na hata sijui nika nn hapo!!!
Ni nn huwa inafanya such na can we be guided on the recipe ya kupika mandazi vizuri???

0