
Shida ya Water Shortage mwanzo after kamvua kamekukataa?
Hizi Ni Solutions 3 Unaeza Try
š§ Drip irrigation
š§ Water harvesting
š§ Drought-resistant crops
Unatumia gani? Au uko na idea mpya? Halafu mvua round hii imeku'favor ama kuko kama mtaa yetu?
0
0
0