Shida yangu ilikuwa profit ya kuku – costs zilikuwa juu juu, especially feeds. After kubonga na MESH Money Coach, niligundua natumia doh mob kwa feeds. Nilibadilisha nikabuy cheaper feeds same quality na nikaanza kutumia WhatsApp kuuza trays zaidi. Saa hii profit imepanda – more trays, less cost, na doh zaidi inabaki.
0
0
0