
shiko anadai kuanza business ya kuuza dera peke yake. she wants to make it a whole sale business upate pia ako na customers wengi na prints supu supu ili ku attract customers haraka . na ni ako na idea ya
Capital?
place ya kuchukua stock?
and best location ya kufanya hawking ya dera?

0
0
0