
#shoeBiz Woshy ako na idea poa sana kwa ground so what he needs to do. Kuna chuo most hii kenya and that brings us to location..young parental youths love this for their kids na watazi buy ka zote..The way he puts out it to customer,this means marketing na pia kuadvertise on social media pages ndo wasee wajue prices na.variety anauza..Hizi tips zitaokolea sana na most of all communication skills,hii itamatter sana on how atabongesha customers wake ndo wazidi kumpromote
0
0
0