
Shoot unaijua kabisa, photos zako hukua Kali, lakini niche yako ni gani? Hii ndo itanasa customers wenye watalast.
Example: Piga tu wedding ama street fashion? Kujua niche ni kujua marketing yako – less confusion, more action. Ni hayo tu kwa sasa, thank you very important
0
0
0