
Shower heads za maji moto hua fiti kama installation ni fiti peke but installation ikiwa mbaya inaeza pia kua deadly mbaya sana. This is because maji hua conductor fiti ya stima that how mtu anaeza kajipata pabaya. So guys tafadhali let us keep ourselves safe kama hujui kinstall tafadhali ita msee anawezana na hiyo maneno let us not ignore this .#plumber #electician

0
0
0