
Shukrani Mesher for the immense suggestion ya how to handle mischievous little ones kwa farm? Nimejifunza hizi tips from your replies na inbox.
👩🌾 Mwanzo kabisa I involve them: Like Anne said, nawaita kwa farm wajifunze vile crops u grow and washow ile handwork ukuwa by involving it as part ya extra curricular activity.
👩🌾 Ni plan for preventation, suggestion za Titus, Caroline, Dakoda na The walker yakuweka fancing, sio lazima ikuwe fancy for a start but naeza chapa tu hadi thorn fence.
👩🌾 Ni set boundaries na rules, like Ntoja ame suggest, hii ina involve kuwa report kwa shule na TOD.
👩🌾Niwa teach responsibility, point fiti sana Allan amenishow, juu ina involve kuwa encourage na kuwafunza.
Thank you so much Mesher, juu now niko na answers jinsi naeza solve hii issue. Always grateful kutoka kwa nyinyi #TeamTujijenge.
And yes, kashule kenyewe ni kale paleee :)
