
Si eti watu wengi wamekosa business ideas. Juu hadi hapa Mesh kuna so many ideas and contribution kwa comment section from mesher. Kujituma ndio challenge.
People are held back by insecurities and fear of the unknown. Kila kitu ni kurisk wakuu. Nothing is certain, even life itself. Unaeza chapa alone ama join na trusted youths and implement pamoja.
Get up, have faith na upige hesabu zako fity. Itajipa!
0
0
0