š° Si lazima ulipe tax yote unadhani utalipa. š
Relax...
Sisemangi ukwepe tax.
Nasema ujue rules.
Biashara nyingi hulipa more kuliko inafaa juu haziclaim expenses zinazokubalika.
Halafu kuna wale wanajaribu kuwa "too smart."
š© Fake receipts.
š© Fake invoices.
š© Story za "tutaficha hii."
Hapo ndio mambo huharibika. š¬
Rule yangu ni simple:
Kama huwezi kueleza KRA kwa nini ulifanya kitu, usifanye.
Tax planning ni kujua rules.
Tax evasion ni kucheza na moto. š„
Wewe uliwahi kushangaa kumbe kuna expense ulikuwa unaruhusiwa kuclaim? š
0
0
0