
Si lie, one hack imenisaidia sana ni kutumia Google Keep na voice notes. Anytime idea inakam—ata niko kwa mat ya Githurai ama kwa keja—nashika simu, na-record tu. Ita-convert voice yangu to text. Hakuna kusahau ideas tena! Naorganize biashara yangu, content plans, na errands fiti sana. Time yangu haipotei, kila kitu iko straight. 🚀💯
#HustleHack
0
0
0