"Si ni kurecord receipts tu..." š
Hiyo ndio watu wengi hudhani bookkeeping ni.
Kumbe maswali muhimu ni haya:
š° Biashara inaniletea profit kweli?
š Mbona cash huwa haitoshi?
š Ni nani bado ananidai?
šø Pesa yangu inaenda wapi sana?
Bookkeeping si kuandika numbers pekee.
Ni kujua biashara yako iko aje before ikuambie yenyewe. š
0
0
0