
Si tunaeza normalize kuambiana siri na connections legit za jobs , vile mtu anaearn, najua biz hukua idea poa but huezi anza biz bila capital. Kwanza nyinyi wasee wa online muache kugatekeep siri hehe. Tueke hii comment section as a free space ya kuambiana ways out. Unaeza help na kujenga mtu leo sana.
0
0
0