
Side ya construction kuna skill yenye inaeza kuletea chakula kwa meza easily Ni hii skill ya steel binding zenye zinaekwa before cement kukorogwa . Kujifunza hi skill ni simple unaeza kaangalia online but best way ni kuenda kwa construction site na pliers yako hapo and you work for free . After hapo ukiona place yeyote kuna mjengo unajoin in fanya kazi safi kisha unalipwa #mjengo



0
0
0