"Sijaamini kama iko!" Checki vile wakenya wenzetu hawaamini COVID-19 ni real. Manze ni responsibility yetu si wote ku-educate society hii ni ngori. Source #NTVNews