
Sijasema masomo ni mbaya but security wanalipa 30k hapa Kanairo alafu primary teacher 25k ,Alafu(mansory) mjengo fundi ni 1.5k per day....Monthly ni 45k .Ukiuza shamba uende Qatar security guards wanalipwa 65K sijasema muuze shamba lakini hata wewe piga hesabu zako tu.
Views zenu ni zipi kwa hii story wadau, which is the best thing to do?
0
0
0