
Sijui ni nini tu but nimenotice kitu inanikalia fishy. So jiinue loan mimi kama myu wa biz nimekua nikilipa pole pole per day, nimenotice nikiwa na balance ya 6,631 na nilipe 300 bob balance inakuja 6,342. Then nikilipa 200 balance inabaki 6,149??!! Aje sasa?
0
0
0