
🤑Siku hizi business zina-run different and fast, na data sio information tu, ni key muhimu sana ya kujua customers wako na vile utawa-satisfy ndio uweze ku-make sales.
💪Jua kutumia data ku-grow biz yako na ku-standout hata kama compe ni noma, for free.
On Friday, Billy atatuchapia vitu important about data kwa biz.Session iko online, at 2pm.
Share link na mabeshte: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0