Siku hizi form ni kuendesha baiskeli. Hi ni important ju utafanya exercise na utasave money. Pia kama ni emergency ama unaenda job unaeza invest kwa electric motorcycle ambazo pia si expensive na inasave time especially kwa jam.