Siku hizi kama uko na real passion ya IT, kuna hundreds of free courses online, vitu huezi learn shule. What matters is your self drive to learn and how you utilize the resources you have