
Siku hizi products zinakuja in twos..moja Original ingine conterfeit na the fake products ziko kila corner some with negative effects kwa customers wetu, wewe kama mtu wa biashara unasaidia aje customers wako kudifferentiate the products wasikoniwe??

0
0
0