Siku hizi ukitaka kukuwa developer wa system unafaa uchague language moja ya kuprogram na uiivie vizuri. Utapata advices mob kuhusu different languages na hapo ndio utajichanganya zaidi. Advices ziko poa lakini usiend up umewaste time mingi kujua kila trending language hakuna mahali utaenda. Mimi nilichagua php na nimeona wasee wengi wakisema eti php is dead na 75% ya internet ni php so nashindwa iko dead aje.
0
0
0