
😁 sina neno lakini God amekuwa na mimi kila siku . Nlianza bizz ya kinyozi nkiwa nmeajiriwa ,Boss akashindwa ku manage nkaingililia kati kati wisely hadi nka make it ,saa hizi nme own kinyozi moja safi na ntaanza ingine hii month the same same area tu
0
0
0