
Since ako kwa stadium anaweza Leta vitu kama drinks baridi kama vile soda, energy drinks na maji..pia anaweza Leta ice pops,ice cream.. popcorn na cotton..hizi zitakua Zina mfavour Ile time kuna game juu hizi ndio snacks husonga sana..then aeke fast food kama chipo smokies na mayai..hizi husonga time ya game na pia kwa streets watu wanazipenda so zitakua zina mfavour Ile time hakuna game na zinaboost sales...🙌🙌🙌


0
0
0