
Since hapa ni Stadium Shally anaweza maximize on the sale by introducing ile maji ya chupa then auze at about 30-40bob wasee wakiskia kiu instead ya kwenda huko kwa shops anazungusha tu hapo kwa grao. Two Shally since anauza sweets pale grao,coz by the time mechi inaisha wasee watakuwa wamenuka midomo so wataprefer kujibamba na sweet wakijinice na game. Game huwa na mafans tofauti tofauti,so sometimes zile seasons za jua kali Shally anaweza introduce ice ndio watoi wakikam field pia wao watanice. Since hapo kwa grao wasee wamekam from different diversities lazima kutakuwa na ukora mob so kama ni story za payment Shally anafaa kuwa na specific method of payment yenye watalipa nayo hio itakusaidia kuepuka ngori mingi na wasee. Kama capital ya Shally itakubali soda pia is another option yenye atavuna from it,,,akiwai soda na njugu zile packed @ 10,20,30 na za 50,,, anaweza pata customers kibao sana kwa grao. Pia akiwa na msee wake wa mkono wanaweza wakacollabo then achemshe mahindi na amsaidie kuzungusha hapo field hio itaweza sana. Na akiweza pata ice cubes tray aweke hapo kwa entrance ya grao,,,, inasaidia pia players wakati wamepata majereha ama hata kucool maji na hizo sodas. Along hizo merits bado kuna lots of challenges zenye zitakam along,,kama,,, 1.wasee watahepa na doh zake 2.kunaweza kuwa na deadstock 3.prefference ya customers wake inaweza kuwa different 4.weather inaweza change any time na iharibu biz
But all in all kama Meshers mtrue hakuna kugive up💪💪😌