
Since kazini tunalipwa after two weeks apo katikati wasee wengi huomba loans so naelewana nao nitakuwa nawakopesha pesa wakiregesha na interest like 1000 after two weeks uniregeshea na 200 so inakuwa 1200 and naifanya only between workmates wangu pekee at least niko sure akuna mtu anaeza nichora doh zangu nikipata io 10k at least nina doh fiti ya kuincrease biz yangu

0
0
0